Watakimbia mpaka ikulu
Posho ya leo walipwe na CCM maana wamekacha kikao.
Kuna tetesi nimezipata kutoka kwenye kikao cha wabunge wa CCM kuwa wanataka rais awawajibishe waziri wa fedha,waziri wa viwanda na pia waziri wa nishati na madini pamoja na naibu wake aka mzee wa totoz.
Milioni 180 zatumika kukarabati nyumba ya waziri wa Afya!!
Really?!!!! are we crazy??!!
Tayari Waziri wa Fedha na Amiri Jeshi mkuu wako nje ya nchi
wenzetu india wanafanya majaribio ya kurusha makombora ulefu wa km5000. sisi tunalalama.