Kamanda anatumia IPAD so makaratasi kama MAGAMBA,watatuelewa tuu siku sio nyingi.Anamchana Kikwete na Ccm kwanba ktk kundi la 201 ameteua wajumbe 161 ambao ni makada na viongozi wa Ccm.
Anasema bajeti ya mchakato wa katiba haiawahi kujulikana bungeni ktk bajeti ya mwaka jana na hii.
Anasema UKAWA hawatarejea kushiriki kupitisha hila za Ccm.
Updates: Anamchana makamu wa pili wa Zanzibar kwa maneno yake kwamba Jussa si raia kwa vile ana asiri ya kihindi.
Anasema Ccm wanaendeleza kauli za kibaguzi na matusi kwa viongozi wa upinzani bila kujali nchi inaweza kuingia kwenye machafuko
naona anandeleza ulaghai tu, hamna chochote anachosema zaidi ya kuvumisha neno ccm. kila baada ya maneno kumi kuna neno ccm, ccm ccm.
dah! yupo hapa namfwatilia anawachana kichizi yaani...
Kamanda anatumia IPAD so makaratasi kama MAGAMBA,watatuelewa tuu siku sio nyingi.
Unaumwa tulia dawa iingie;;Mm naona anaenda nje ya hoja za msingi na hii ndio tatizo la mbowe masuala ya bunge la katiba ni kule kule c huku hapa tunataka alete nondo za maana,ninacho kiona hapa malumbano matupu tuu
Unaumwa tulia dawa iingie;;
Hapo ndipo pakusemea kwa maana sarikali ndipo IPO hapo.Mm naona anaenda nje ya hoja za msingi na hii ndio tatizo la mbowe masuala ya bunge la katiba ni kule kule c huku hapa tunataka alete nondo za maana,ninacho kiona hapa malumbano matupu tuu
yaani hauoni cha maana anachozungumza? we ile budget yote ya Bunge maalum la Katiba kumbe hata haija idhinishwa na Bunge la JMT, gharama kubwa lakini hakuna kinachofanyika, mabilioni ya hela mengi yanapotea bila hata ya budget...mkuu embu niambie nini ameongea hapo cha maana, sana anajitetea kutoka kwao nje, anasema daftari la wapiga kura liboreshwe kama rasimu ilivyoelekeza chakushanga ambikiikimbia rasimu sasa hayo mapendekezo nani atayatetea tena????