The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 2,448
- 3,731
Huyu Mbowe ana akili nyingi sana anajua na ana uhakika kuwa kila mkakati wake anaouweka hauwezekani kwa sasa kwani hata hao vijana wa kuandamana kwa sasa ana uhakika hawezi kuwapata.
Hivyo anachofanya kwa sasa ni kumremote Rais aendelee kutoa matamko mbalimbali na huo kwa Mbowe ndio ushndi anaoutaka anataka ilimradi tu Rais amjibu.
Kwa bahati mbaya Rais hajashtukia hilo game.