Mbowe amekubali CHADEMA kimfie mikononi


Umesoma hadi darasa la ngapi? Mbona hueleweki?
 
Umesoma hadi darasa la ngapi? Mbona hueleweki?

mi ni Dr Mshumbusi. Vipi we ni muhariri nini? Wa gazeti gani la udaku. Katika habari nzima unaangalia makosa. Nasikia ata darasani ulikuwa unakumbuka sehemu ambayo mwalimu anachapia tu au kukosea
 
kikifa waganga njaaa kama wewe mtakula wapi?

inawezekana kabisa huyo jamaa ni mganga njaa kama waganga njaa wengine tu akina Ritz walioko CCM.

Hawafundishwi kuwa viongozi ila viongozi wa kuwafuata
 
Acha pumba alokwambia kitakufa nani. N huyo mbowe mnamperemba kwa muda gani aliokaaa madarakani? Kweli nape ataoa wengi saaaaana
 
Mje na singo mpya hii imechuja
 
Mzimu wa Chacha Wangwe umemkalia vibaya tena kooni kwani Tokea Afariki hajawahi kumkumbuka
Wala kulipia Bango TBC la kumkumbuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…