Kwa uteuzi na baadae kupitishwa na baraza kuu kwa Dr Mashinji kuwa katibu mkuu mpya kumewaacha midomo wazi na kuonyesha kutotabirika kwa Mbowe. Watu wamesahau alivyopatikana Kaburou na Dr Slaa.
Dr Kaburou aliletwa toka Marekani na kulipiwa kila kitu ili atumikie chama, hakuwa mwanasiasa na alikuwa hajulikani. Baada ya uasi wa Dr Kaburou Mbowe aliwashangaza wengi kwa kumteua Dr Slaa ambaye alikuwa makamu mwenyekiti wakati huo, ilikuwa vigumu kuwasawishi wakubwa kwenye chama kumuondoa kwenye umakamu Dr Slaa ili awe katibu mkuu.
Sasa ni Dr Mashinji, ili ni zao jingine la ubunifu wa Mbowe. Zilipoanzishwa kana tulishuhudia wataalam wengi wakipewa kazi za chama. Watu kama Dr Kabangila na Bujiku tukashuhudia kwa mara ya kwanza wakiingia kwenye siasa. Hakuna chama kinaweza kuchukua dola kwa kutegemea wanasiasa tu. Ni lazima kuwepo na wataalam, na wataalam wako serikalini
Walioanza propaganda za migomo subirini kwanza. Mara hii siraha zote zitatumika. Mitandao yetu ya watumishi, wanafunzi na wanasiasa itakuwa kazini kuelekea 2020. Eti migomo, ebo! kwani alikuwa Dr Ulimboka? Mbona mnaweweseka kutaka kujua ni nani? kama angeongoza migomo si angekuwa anajulikana kama Ulimboka? tulipowaambia chama kinatoka kwenye harakati mlielewa nini?