kasyabone tall
JF-Expert Member
- Sep 13, 2009
- 254
- 63
Tunaomba sababu ingawa kwa jinsi nimjuavyo Mbowe jamaa atakuwa alideserve
Wameona,Mbowe kakosa urais sasa kakimbilia biashara ya rejareja,pia kakosa,doh sihasa au siasa,kweli wapinzani mbinu zao za chekechea,umeamini kama magwanda wanayovaa CHADEMA ni wajeshi 2,mmmh SLAA JITAYARISHE NA LESSO,
tujuze na sababu kwani mwenyekiti awezi kuchukua maamuzi kama hayo bila sababu
Hapa ndio ambapo CHADEMA wanatakiwa wajitofautishe na wahuni. Ukweli ni kwamba, bila CHADEMA kumng'oa Mbowe credibility yake itakuwa hakuna. Huyu anafaa kuwa katibu mwenezi apige domo na si kuwa M/Kiti wa CHAMA. Hivi ni tukio la ngapi hili anahusika? Hv Mwenyekiti wa CCM angefanya hivyo ingekuwaje? Hata km angemfanya nini, bado kuna vyombo vinavyostahili kufanya hivyo! Hivi kila mtu akifanya hivyo itakuwaje?Daniel Mjema, Hai
MGOMBEA Ubunge Jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro, kwa tiketi ya Chadema, Freeman Mbowe ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama hicho, anatuhumiwa kumpiga vibao viwili mwangalizi wa ndani wa Baraza la Waislamu Tanzania (Bakwata), Nassir Othman (20).
Kamanda wa Polisi mkoa Kilimanjaro, Lucas Ng'hoboko alilithibitishia kupokea taarifa za tukio hilo lakini akasema asingeweza kulizungumzia kwa undani kwa kuwa maofisa wake aliowatuma walikuwa hawajarejea.
Hata hivyo mkuu wa wilaya ya Hai, Dk Norman Sigalla ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na Usalama wilaya ya Hai, alidai kuwa tukio hilo lilitokea saa 8:45 mchana katika kituo cha Zahanati ya Kambo eneo la Msufini.
mukiambiwa chadema ni watu wa fujo na kumwaga damu mutakataa????
kama m/kiti wenu anakosa uvumilivu kiasi hiki, jee, wanachama wake watakuwa vipi?
mukiambiwa chadema ni watu wa fujo na kumwaga damu mutakataa????
kama m/kiti wenu anakosa uvumilivu kiasi hiki, jee, wanachama wake watakuwa vipi?