sirluta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 6,325
- 2,487
Ni mjadala unaoendelea muda huu juu ya Mahakama ya Mafisadi ambayo kwenye bajeti hii imetengewa tshs 2.5 bilioni.
Mgeni aliyealikwa ni mwenyekiti wa kambi rasmi ya upinzani mh. Freeman Mbowe, ila ameshindwa kufika na kuwakilishwa na mbunge wa Tunduma kupitia CDM ndugu FRANK MWAKAJOKA.
Kumekuwa na kasi ya chini chini kupinga hii mahakama inayofanywa na upinzani, sidhani kama wapo sahihi kubariki ufisadi kwa kuipinga mahakama!