Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,346
- 26,138
Mbowe ni shujaaAlama na salamu iliyobuniwa na Mwenyekiti wa CHADEMA katika Mkutano wa BAWACHA Millenium Towers imeikamata Tanzania. Alama hiyo ya kuzungusha mikono kama tairi inasindikizwa na salamu isemayo:Mabadiliko....Lowassa!;Lowassa....Mabadiliko!
Sasa alama hiyo na salamu inatumiwa na CHADEMA na UKAWA kwenye mikutano yao ya kampeni nchi nzima. Hakika,Mbowe anastahili sifa kwa ubunifu huu wa alama na salamu.
yuko makin sn
Huyo ndiyo mtu anayeogopwa sana na CCM.mtoto wa mjini mbowe ameimaliza kabisa ccm.
Dr. Slaa arudishe pesa za watu.Wezi wa escrow na madalali wa twiga wetu wakiona hivyo wanaongeza tu mapene kwa padri... Ccm hawana manusura mwaka huu, tutawapiga pande zote mbele na nyuma
Alama na salamu iliyobuniwa na Mwenyekiti wa CHADEMA katika Mkutano wa BAWACHA Millenium Towers imeikamata Tanzania. Alama hiyo ya kuzungusha mikono kama tairi inasindikizwa na salamu isemayo:Mabadiliko....Lowassa!;Lowassa....Mabadiliko!
Sasa alama hiyo na salamu inatumiwa na CHADEMA na UKAWA kwenye mikutano yao ya kampeni nchi nzima. Hakika,Mbowe anastahili sifa kwa ubunifu huu wa alama na salamu.
Alama na salamu iliyobuniwa na Mwenyekiti wa CHADEMA katika Mkutano wa BAWACHA Millenium Towers imeikamata Tanzania. Alama hiyo ya kuzungusha mikono kama tairi inasindikizwa na salamu isemayo:Mabadiliko....Lowassa!;Lowassa....Mabadiliko!
Sasa alama hiyo na salamu inatumiwa na CHADEMA na UKAWA kwenye mikutano yao ya kampeni nchi nzima. Hakika,Mbowe anastahili sifa kwa ubunifu huu wa alama na salamu.
Alama na salamu iliyobuniwa na Mwenyekiti wa CHADEMA katika Mkutano wa BAWACHA Millenium Towers imeikamata Tanzania. Alama hiyo ya kuzungusha mikono kama tairi inasindikizwa na salamu isemayo:Mabadiliko....Lowassa!;Lowassa....Mabadiliko!
Sasa alama hiyo na salamu inatumiwa na CHADEMA na UKAWA kwenye mikutano yao ya kampeni nchi nzima. Hakika,Mbowe anastahili sifa kwa ubunifu huu wa alama na salamu.
Mbowe my heroooooooooomtoto wa mjini mbowe ameimaliza kabisa ccm.
Hivi bibi ushafikia menopause? Au bado unableed?Mbowe hana ubunifu wala jipya, mwambie amwambie Lowassa azungushe mikono kama ataweza.