Mbowe agonga mwamba kortini, hata TLS watagonga mwamba!

Kumbuka ulifungua kesi kupinga uchaguzi wa TLS, Huchoki na shughuli hizi?au posho yake ipo pande hii.
 
Boda wana avenue kubwa sana ya kufile maombi yao upya japo wakiona imeamriwa vibaya wana nafasi ya kukata rufaa..
 
Kwa sababu maamuzi mengine ya watoa haki yanaingiliwa sana
 
 
Is this the Court of appeal? Mbona unatoa conclusion za ajabu!

Mkuu;
Hoja ni kuwa Mbowe amegonga mwamba mahakamani.

Hoja ya kusema hii sio court of appeal haina mantiki kwa sababu madai yao yamekataliwa na mahakama waliyodhani itawapa ushindi.
 
Mkuu;
Hoja ni kuwa Mbowe amegonga mwamba mahakamani.

Hoja ya kusema hii sio court of appeal haina mantiki kwa sababu madai yao yamekataliwa na mahakama waliyodhani itawapa ushindi.
Kwa mtu wa sheria hoja yako does not hold water!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…