Mbowe agonga mwamba kortini, hata TLS watagonga mwamba!

Napongeza sana Mbowe kufungua hii kesi, hata kama imefutwa lakini maelekezo ya wapi pa kuanzia yamejulikana. Kuishi bila kukosea ina maana hamna kitu kipya unafanya maishani mwako
 
So what is your main point and concern !!
 
Naona umeandika kimipashopasho na mbwembwe

Sasa hapo kilicholeta tatizo ni logic ya kesi au ni Jurisdiction ya mahakama?
Vyovyote vile utakavyopenda kutumia logic yako lakini ukweli ni kuwa Mbowe amegonga mwamba kwa sababu kesi yake ya msingi imekataliwa.

Kwa maana nyingine, agizo la Makonda na Siro linabaki kama lilivyo.
 
Mkuu,
Kichwa cha habari ilitakiwa kisomeke " Mbowe agonga UKUTA Kortini"!
 
Kwa hiyo kutimiza majengo kwa Serikali ni kunyanyasa RAIA na si kutenda haki na kutotumia madaraka vibaya??

Kama ni hivyo basi ndani ya Serikali kuna matatizo makubwa sana.
Haki mbinguni,sheria duniani.
 
Sasa mahakama kusema kuwa haina mamlaka ya kuisikiliza hiyo kesi ndo amegonga mwamba???![emoji30] [emoji30] [emoji30].....Umetumwa???[emoji32]
 
Is this the Court of appeal? Mbona unatoa conclusion za ajabu!
 
Si ajabu mbowe kushindwa,majaji ni hao hao lakini huwa serkali haishindi kesi zake open your eyes
 
Kumbe sababu ni kwamba Mahakama haina Uwezo wa kusikiliza
Tutaenda next level
 
Mimi nilidhani mtoa amri yuko sahihi kumbe ni pingamizi la uwezo wa mahakama alafu mtu anashangilia!!
 
Hajui kama kisheria bado uwezekano wa Mbowe kuendelea na kesi upo na akashinda vile vile.
Huko Mahakamani ndo uchochoro wa miungu watu (viongozi) wa Chadema wanakopigia hela za ruzuku ya chama,hakuna auditing yoyote inafanyika huko,hao miungu watu wanatengeneza kesi za ajabu wanaenda mahakamani huku manyumbu yao yakishangilia hlf mwisho wa siku hakuna nyumbu anahoji hizo kesi zinaisha vipi maana nyumbu hana kumbukumbu...!!!
 
Kwa uelewa wako wa kuungaunga, ulitegemea Mahakama ingetoa hukumu kwa sheria zipi kama siyo hizi zilizopo?
 
Kumbe Lissu,Ulimwengu,na mawakili wote waliomuwakilisha Mwenyekiti wa kudumu wa Chadema(Mbowe) walikuwa MABASHITE tu wanashindwa kujua kesi inatakiwa kufunguliwa vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…