Omba wakurudishe darasani ukafunzwe vizuri sintaksia na sarufi mkuu,ni ajabu sana uandishi wako hauzingatii vituo,kunukuu,pia kuonyesha hoja yako iko wapi,amaa kweli wasiosoma ni chakula cha wasomi naona umetafunwa sana na bado unazidi kuwashangilia kwa kuvimba mishipa ya shingo kwa hoja nyepesi.Endelea kuwa mtumwa wa fikra