masingo sharili
Member
- Mar 18, 2011
- 63
- 12
Katika hali isiyo ya kawaida mwenyekiti wa cdm taifa mh. Mbowe leo ameachiwa bila dhamana . Ktk hali isiyo ya kawaida mbowe alitakiwa na mahakama kuwekewa dhamana lkn alikataa na mahakama ikanywea ghafla na kumwomba aondoke bila dhamani mahakamani. Duh!
Can somebody help to understand the dimensions of this story? Nahisi napotelea katikati ya njia
Yaani kakataa dhamani halafu kaachiwa tu kujiondokea?? mmmhhh, kweli kifo cha mende...........
Mimi si mwanasheria,lakini naona kuna kitu hapa hakijakaa sawa!!Katika hali isiyo ya kawaida mwenyekiti wa cdm taifa mh. Mbowe leo ameachiwa bila dhamana . Ktk hali isiyo ya kawaida mbowe alitakiwa na mahakama kuwekewa dhamana lkn alikataa na mahakama ikanywea ghafla na kumwomba aondoke bila dhamani mahakamani. Duh!
Katika hali isiyo ya kawaida mwenyekiti wa cdm taifa mh. Mbowe leo ameachiwa bila dhamana . Ktk hali isiyo ya kawaida mbowe alitakiwa na mahakama kuwekewa dhamana lkn alikataa na mahakama ikanywea ghafla na kumwomba aondoke bila dhamani mahakamani. Duh!
Katika hali isiyo ya kawaida mwenyekiti wa cdm taifa mh. Mbowe leo ameachiwa bila dhamana . Ktk hali isiyo ya kawaida mbowe alitakiwa na mahakama kuwekewa dhamana lkn alikataa na mahakama ikanywea ghafla na kumwomba aondoke bila dhamani mahakamani. Duh!
WILSON MWIJAGE said:Naomba kueleweshwa maana mimi sio mwanasheria!
Hivi inawezekana mtu (mtuhumiwa) akaachiwa bila dhamana?
Kuna dhamana tofauti tofauti: Mtu anaweza kujidhamini mwenyewe au kudhaminiwa na mtu mwingine. Je kama haya mawili hayatokei mtu ataachiwa vipi AU waliomwachia Mh. Mbowe (big up to him) wamevunja sheria? Kama wamekiuka utaratibu ni hatua gani wanaweza kuchukuliwa kisheria?
Katika hali isiyo ya kawaida mwenyekiti wa cdm taifa mh. Mbowe leo ameachiwa bila dhamana . Ktk hali isiyo ya kawaida mbowe alitakiwa na mahakama kuwekewa dhamana lkn alikataa na mahakama ikanywea ghafla na kumwomba aondoke bila dhamani mahakamani. Duh!
Mleta mada amesema alikataa dhamana.Atakuwa amejidhamini mwenyewe.Inategemea na mashtaka.