Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,749
- 28,144
Kwan wasafi mwenyewe anasemajeNa ukweli ni kwamba wasafi imebaki na mbosso na zuchu tu..hawa wengine wanasogeza siku tu kisanii..
vipi huyo wa kuitwa chui 😁😁Na ukweli ni kwamba wasafi imebaki na mbosso na zuchu tu..hawa wengine wanasogeza siku tu kisanii..
Wasafi wote wanaujua muziki. Kila mtu ana taste yake.vipi huyo wa kuitwa chui 😁😁
Mkuu hata RayvanyNa ukweli ni kwamba wasafi imebaki na mbosso na zuchu tu..hawa wengine wanasogeza siku tu kisanii..
Mkuu hata Rayvany
vipi huyo wa kuitwa chui
Mpelekee akakusukumizieMara ya mwisho rayvanny kaimba Teamo..baada ya hapo kaanza kuiiga nyimbo ya teamo katika nyimbo zake zengine
Lavalava?Wasafi wote wanaujua muziki. Kila mtu ana taste yake.
Yea anajua.Lavalava?
"itafune imung'unye ishakua yako""Mi nawe mpaka kiama tuombe uzima
Waroge kwa kuchutama na wasimame wima"
mbosso akiimba mapenzianashawishi sana