Mbongo hutamshinda akili, kuna mawakala wanauza laini zilizosajiliwa kwa fingerprint

Kuna mdau katoa wazo zuri saaaana.

NIDA na TCRA watoe uwezo mtu uweze kuangalia Namba yangu ya NIDA imetumika kusajili laini namba ipi na ipi? Usioijua unaireport.
Hii ndo solution ya hili tatizo,ama sivyo zoezi litakuwa ni failure
 
Back
Top Bottom