Mbona wengine hawasikiki?

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
15,669
Reaction score
33,691
Mkuu wetu tayari wananchi wamemuona ni Rais anayefaa kwa Taifa hili,wengine wametaka awe ofisini kuongoza hata baada ya muda wake madarakani,cha kujiuliza mbona hatuoni waziri au mkuu wa mkoa ambaye tunatamani aongoze hata baada ya muda wake kumalizika???...................................Am sure watu walioko chini ya Rais wangekua hard workers kama yeye,tungekua tumepiga hatua mbele kimaendeleo…………………………labda Makonda,lol
 
Hakuna anayetamani Magufuli aongezewe hata wiki moja pindi atakapo maliza muda wake.

Kwa ilikuwa bado kidogo tu watu wafanye michakato ya kumng'oa angali bado yupo madarakani.
 
Hakuna anayetamani Magufuli aongezewe hata wiki moja pindi atakapo maliza muda wake.

Kwa ilikuwa bado kidogo tu watu wafanye michakato ya kumng'oa angali bado yupo madarakani.

maneno yako nimeyatunza,ngoja uone Magufuli 2020,atakavyoshinda kwa kishindo,ndio utanikumbuka Rebeca wa JF,lol
 
Ndoto na mtazamo wa Makonda ni zaidi ya unavyo fikiria......

Mwenzako ana ndoto ya kurithi kiti cha BRADHA....[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa utafiti wa twaweza unatuletea great thinkers kwa nini sasa nisikuone punguani?

kwa hio wote walioleta topic za twaweza humu ni mapunguani???nimekuambia prove twaweza ni CCM naona unambwela tu.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…