Mbona uchangamfu wa hawa Members Wapenzi humu JF kila siku unapungua? Tatizo ni nini labda?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
59,949
119,212
Kuna Members wawili ' maarufu ' sana humu JF na ambao pia wameshaanzisha ushirikiano wao wa kutukuka wa Kibaiolojia / Mapenzi ila tokea watutangazie huo umoja wao wa Kibaiolojia ' uchangamfu ' wao humu Jamvini umepungua ghafla na hata wao kwa wao sasa hawatajani tena ' Kimahaba ' kama ilivyokuwa hapo mwanzo hali ambayo Mimi kama ' Chief Whip / Mnadhimu Mkuu ' wa Jamvi la JF nimepatwa kidogo na ' mshtuko ' na kuanza hata kuwa na hisia tofauti tofauti kama:
  1. Labda wameshafumaniana
  2. Wamechokana
  3. Wameshadanganyana vya kutosha sasa Uwongo wao umewaisha Ubongoni
  4. Wamesalitiana pengine kutoka kwa Wapenzi wapya wa humu humu JF
  5. Labda mmoja hajamtosheleza mwenzake Kibaiolojia Kitandani
  6. Labda suala la Dini limechanganya na kila mmoja anataka kubaki na Mungu wake
  7. Labda wote wawili wamekataliwa na Wazazi wao wa pande zote mbili
Enyi nyie Members Wapenzi Picha ' Kitambaa ' na Picha ' Natoa Hotuba ' mmekumbwa na nini hadi sasa hivi mmekuwa wakimya hivi isivyo kawaida yenu hasa humu JF? Tafadhali kama kuna tatizo lolote nishirikisheni ' Chief Whip ' wenu wa JF ili niweze kuwasuluhisha kwani kwa ' maono ' yangu niliyozawadiwa na Mwenyezi Mungu nimeshaanza kunusa ' DANGER ' kati yenu.
 
Asalaam.

Mapenzi kuna kuchokana. Wengine kapo zetu toka tunajiunga JF hazihesabiki ila naona wengine wapo serious kuzidi wengine

Mkuu kumbe na Wewe ' uliopoa ' Demu / Basha humu JF kama akina Picha Kitambaa na Picha Natoa Hotuba? Heko zako!
 
Hahahaaaaaaa hii JF bhana? Tukibebishana malalamiko yanazidi...oooh tumezidi kuitana my love,my love.
Tumekaa kimya sasa tupo kiprofessional zaidi mara kuna danger katika mapenzi yetu.
Jamani...The Bold's tupo kama mnavyoona hapo
e7fb62d51c32ace3c88f3e49a25b1cc7.jpg

*Fumbo mfumbie mjinga mwerevu atang'amua
*Na kapicha ketu nimekapost
*Wasiotupenda itawakost
 
Kuna wimbo mpya wa OMG na Barakah unaitwa Uongo na Umbea.

Kiitikio kipo hivi:

Hatucheki na wewe sababu ya uongo na umbea,
Hatuongei na wewe sababu ya uongo na umbea *2

Halafu hook ipo hivi

Uongo na umbea umbea,
Uongo na umbea umbea*3

Ni wimbo mzuri sana tuutafute tuusikilize jamani.
 
Jiwe limefika ' kunako '. Raba zenu nzuri sana.
 
Kuna wimbo mpya wa OMG na Barakah unaitwa Uongo na Umbea.

Kiitikio kipo hivi:

Hatucheki na wewe sababu ya uongo na umbea,
Hatuongei na wewe sababu ya uongo na umbea *2

Halafu hook ipo hivi

Uongo na umbea umbea,
Uongo na umbea umbea*3

Ni wimbo mzuri sana tuutafute tuusikilize jamani.
Katika watu wasionipa shida JF hii basi ni kaka yangu kipenzi GENTAMYCINE
Thread hii naichukulia kwa mrengo chanya
 
Kuna Members wawili ' maarufu ' sana humu JF na ambao pia wameshaanzisha ushirikiano wao wa kutukuka wa Kibaiolojia / Mapenzi ila tokea watutangazie huo umoja wao wa Kibaiolojia ' uchangamfu ' wao humu Jamvini umepungua ghafla na hata wao kwa wao sasa hawatajani tena ' Kimahaba ' kama ilivyokuwa hapo mwanzo hali ambayo Mimi kama ' Chief Whip / Mnadhimu Mkuu ' wa Jamvi la JF nimepatwa kidogo na ' mshtuko ' na kuanza hata kuwa na hisia tofauti tofauti kama:
  1. Labda wameshafumaniana
  2. Wamechokana
  3. Wameshadanganyana vya kutosha sasa Uwongo wao umewaisha Ubongoni
  4. Wamesalitiana pengine kutoka kwa Wapenzi wapya wa humu humu JF
  5. Labda mmoja hajamtosheleza mwenzake Kibaiolojia Kitandani
  6. Labda suala la Dini limechanganya na kila mmoja anataka kubaki na Mungu wake
  7. Labda wote wawili wamekataliwa na Wazazi wao wa pande zote mbili
Enyi nyie Members Wapenzi Picha ' Kitambaa ' na Picha ' Natoa Hotuba ' mmekumbwa na nini hadi sasa hivi mmekuwa wakimya hivi isivyo kawaida yenu hasa humu JF? Tafadhali kama kuna tatizo lolote nishirikisheni ' Chief Whip ' wenu wa JF ili niweze kuwasuluhisha kwani kwa ' maono ' yangu niliyozawadiwa na Mwenyezi Mungu nimeshaanza kunusa ' DANGER ' kati yenu.
Makondaw na mwenzie
 
Back
Top Bottom