Mbona TBC hawaonyeshi mikutano ya UKAWA?

Mbona TBC hawaonyeshi mikutano ya UKAWA?

Riziki Magembe

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2014
Posts
886
Reaction score
206
Wana jamvi mbona television ya taifa hawa rushi mikutano ya ukawa? Kwani shirika hili haliendeshwi kwakodi za wana ukawa kama watanzania wanao lipa kodi?
 
Usiwe na hata wasipoonyesha tayari watu wanajua msimamo wa ukawa.mikutano ya magamba inayorushwa kila siku kwenye tv haitabadili wenye msimamo wa kupata serikali ya Tanganyika ambao ndio wengi.watu wanataka serikali watakayoiwajibisha sio kama hii iliyopo
 
TBCCM TBCinterahamwe ni branch ya CCM kama ilivyo gazeti la Habari Leo
 
TBCCM TBCinterahamwe ni branch ya CCM kama ilivyo gazeti la Habari Leo

tbc itaonesha mikutano ya ccm,cuf,nccr na chadema kwa vipo kisheria UKAWA ni nn hata ulalamike maana naona kanzu nyingi hivi ukawa wachungaji na mapadre hawaiungi mkono?maana siwaoni?Sha.me on you all.
 
Umekielewa ulicho andika au umekurupuka na njaa zako!tumia akili basi ukawa wanasimamia maoni ya wananchi wewe unasimamia maoni ya nani?
 
tbc itaonesha mikutano ya ccm,cuf,nccr na chadema kwa vipo kisheria UKAWA ni nn hata ulalamike maana naona kanzu nyingi hivi ukawa wachungaji na mapadre hawaiungi mkono?maana siwaoni?Sha.me on you all.
Ukame wa fikra! Majambazi wanapokamatwa na kuonyeshwa katika TV wapo kisheria?
 
TBC ni yetu Ccm ukawa yao ITV daima
 
Inawezekana kwao si habari!!kila mtu ana vigezo vya kutafasiri jambo,kwa upande wao vigezo havijatimia!!
 
Back
Top Bottom