Kwani ni lazima nchi zinazoshiriki ziwe na snow?
Winter Olympic ni kwa ajili ya nchi za barafu tu!.Chan ni kwa ajili ya afrika tu
nigeria wamepeleka washiriki kwa mara ya kwanzaWinter Olympic ni kwa ajili ya nchi za barafu tu!.
kabarafu kenyewe kanaisha tu kuna siku patabaki miamba tu
Next tutaomba kuanda Winter Olympic
Hata Ecuador , Eritrea , Kosovo, Malaysia na Singapore wamepeleka kwa mara ya kwanza!..nigeria wamepeleka washiriki kwa mara ya kwanza
Nigeria wanashiriki na ile timu ya wanawake wanne....wanateleza kwenye barafu na vigari ....Winter Olympic ni kwa ajili ya nchi za barafu tu!.
Usiwe mshamba hao ni nchi waalikwa hata wewe ukifikia vigezo unaweza alikwa!.. Ajabu yawezekana hata hujui maana ya Summer olympics, Winter Olympics na paralympic!.Nigeria wanashiriki na ile timu ya wanawake wanne....wanateleza kwenye barafu na vigari ....
Kumbe Nigeria kuna barafu....haha
kifupi hizi olympics games zote huandaliwa na kamati ya michezo ya olympics au International Olympic Committee (IOC}Ndio tueleweshe sasa