Justin Dimee
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 1,146
- 248
Kaa hivyo hivyo utakuwa umejiepusha na hatari kibao
Komaa hivyo hivyo mkuu!! Utakujaga baadae kufikiria tena. Saizi upepo wa mapenzi haupo duniani kabisa, umehamia sayari zingine.
Bora tu niwe pekee yangu kwan kunashda gan coz hawa mademu ni pasua vichwa sana natulia 2.
hiyo kitu itaisha yenyewe mpedwa paleee nyoka akianza kutafuta kichunguu.
Mapenzi ni hisia ndugu. Inawezekana ulipokua na huyo ulie muacha ulimuamini sana na ulipanga vitu vingi then gafla mkatengana bila ya wewe kutegemea. Jipe muda kwanza wa kuyaa acha hayo yapite then taratibu utajikuta unavutiwa na kutaka kuingia kwenye mausiano. Usijilazimishe kupenda hakuna atakae kuona kua hauja kamilika.
kweli yan hisia zimeyeyuka gafla 2 yan mtu tuna pendana tunafanya kila kitu alafu gafla bini vuu mtu unasema tuachane hata bila kosa mmh hawa mademu bna.
Tangia tuachane na niliye kuwa nae awali sijisiki kumpenda mrembo yeyote. Naomba mnishauri nifanyeje? Ni heri niendelee hivi hivi kuwa mpweke au nijilazimishe kupenda? Sina mda tena na wasichana na sijisikii kupenda sababu nahisi hisia zimepotea gafla. Sijui ndio kusema kaondoka nazo huyu niliye mwacha?
Mambo yote utokea kwasababu,vuta subira suni utayaona yalipaswa kutokea. Na sio wote wapo au watakua kama uyo,yawezekana
haikupangwa kua nae.
Take it easy
Jarib kuonana na daktari katika masuala ya mapenzi upate ufafanuzi na msaada zaidi!