wadau mbona sioni bunge likioneshwa kupitia tv yoyote au linaendelea kwa siri?
Mkuu, kwa sasa mijadala inawndelea kwenyemzile kamati 12. Mjadala bungeni utaanza siku ya Ijumaa.wadau mbona sioni bunge likioneshwa kupitia tv yoyote au linaendelea kwa siri?