Mbona siku hizi sitii mimba?

Bila ya shaka pumbu hazijapona na mbegu za humo ni za low quality hivyo zinaishia kufanya uchafuzi tu Mkuu 😂😂

 
Nipe mbinu sasa nifanyaje ili nimtie mimba ata mmoja au wawili hivi
Siku moja kabla hujaenda kulala na mwanamke usiku lala ukiwa umevaa chupi ya kike na kanga, kesho yake nakuhakikishia ukipiga bao tu mimba tayari. na utaleta mrejesho humu humu jukwaani

Plz Just do it
 
Kumbe unapiga live band. Upungufu wa condom huna habari nao?
 
mwenyekit unamtafuta Zero IQ junior...
 
Navyojua anayepanga mimba itokee sio mwanaume bali mwanamke

Mimi ndio naweza kusema leo naenda kupata mimba ila sio wewe useme unaenda kumpa mimba....ni either apange yeye kupata ama ubake

So kama unataka mtoto mwambie mwanamke wako apange siku
Umemjibu vizury sanaaa
 
Chips mayai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…