Mbona siku hizi sitii mimba?

makinikia yakikutana na smelter, haya ndo matokeo yake!!! Unamtafuna siku hatari manze kesho anameza p2 na unatoa hela ya pedi
 
Ila madem wenyewe siku hizi walishatoa mimba nyingi hata akitaka umpe haiingii!kuna dem kipindi naanza nae nilimjaza ila hakuniambia akaenda kuitoa!sasa hivi kila siku ananiletea ila haiingii.
Madem km watatu hivi nilikuwa nawachapa siku za hatari baada y mda wananunua pedi.nikaanza kuhisi lbd sasahivi na mi shahawa zimekuwa nyepesi!nikakapata kadem flan ndo kamemaliza form4 kugusa tuu kitu ndi ndi ndi....
 
mayai yako yameshakuwa viza mkuu,hata ukimpa binti mimba anaweza kuzaa chura!hebu tulia usijetuletea viumbe wa ajabu duniani...
 
Nuru yako imepotea mkuu kama mimi vile yaani wanawake unaokutana nao kwasasa wanakuona wakawaida Sana huna chakuwashangaza Mpaka wakutegee mimba
 


Usife moyo dawa yake ni ndogo sana.....Nitafute nikufumue malinda ndipo utaweza kutungisha mimba wanawake.
 
Ebu panga basi, alafu uni PM[emoji39][emoji39]
Navyojua anayepanga mimba itokee sio mwanaume bali mwanamke

Mimi ndio naweza kusema leo naenda kupata mimba ila sio wewe useme unaenda kumpa mimba....ni either apange yeye kupata ama ubake

So kama unataka mtoto mwambie mwanamke wako apange siku
 
Hapo kwanza lazima uache kula chips...tehteehhteehhh[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii ni sawa kabisa.. ila kama demu ana kitanzi au bingwa wa kublock mimba ni sawa na kupoteza muda tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…