Mbona Sikomiii Kasinde mie....!!???

Tabasamu lipo sana hata sielewi nini kinatokea. .... najikuta tuu naulaumu moyo kwanini niliuamini.

Ever Smiling Kasie.
Ewaaaaaa mambo ndo hayo sasaaaaa.. Shidi niipi hapo sasa kasie mahaba !!.

Mtoto unatabasamuuuuuuuuuuu au unapewa Maraha mpaka inakua karaha.
 
Me ushani-di-ndisha [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kasie ni kama maji
Usipomnywaa...

Hahahahahhaa looh asantee kwa kunitunuku sifa hiyo heheheheheh heheee

Nna matumizi elf na moja.... basi ndo maana sikomiii a Hahahahahhahaaa

Ever Smiling Kasie.
 
Ewaaaaaa mambo ndo hayo sasaaaaa.. Shidi niipi hapo sasa kasie mahaba !!.

Mtoto unatabasamuuuuuuuuuuu au unapewa Maraha mpaka inakua karaha.

Nahisi napewa maraha hadi inakuwa karaha aahahahahahahaaa

Kasie mahaba Dai sijui alinionea wapi hata akaimba sawia na nilivyo.....

Ever Smiling Kasie.
 
Me ushani-di-ndisha [emoji23][emoji23][emoji23]

Aahahahahahahahaaaa toobaaah yalaaah lawama hizii.

Sasa inakuwejeee. ....... hehehehehhee hakyanani sijui kama ntakoma Kasinde mie

Ever Smiling Kasie.
 
Nahisi napewa maraha hadi inakuwa karaha aahahahahahahaaa

Kasie mahaba Dai sijui alinionea wapi hata akaimba sawia na nilivyo.....

Ever Smiling Kasie.
Wachaaaa weweeeee ......kasie nikuambie kitu ? umenielewa !!.
 
Aahahahahahahahaaaa toobaaah yalaaah lawama hizii.

Sasa inakuwejeee. ....... hehehehehhee hakyanani sijui kama ntakoma Kasinde mie

Ever Smiling Kasie.
Ha ha nimeagiza barafu naipoza exhaust
 
Ha ha nimeagiza barafu naipoza exhaust

Hahahahahahhaaa looh angalia isijekuwa mie ndo nikatafutwa kuwa nimesababisha madakesi. .... mwaka bado mpya huu.....

Au na wewe ni mulemule hukomiii hehehehehee

Ever Smiling Kasie.
 
Hahahahahahhaaa looh angalia isijekuwa mie ndo nikatafutwa kuwa nimesababisha madakesi. .... mwaka bado mpya huu.....

Au na wewe ni mulemule hukomiii hehehehehee

Ever Smiling Kasie.
Penzi la Kasie silikomi....!!
 
Warusi wana msemo usemao "Take the bull by it's horns .... yaaan namaanisha ivi Kasie[emoji125]

Oohooo hehehehehehehehee
Umenikumbusha mirindimo ya pwani.... Halifichikii eeeh halifichikiii pembe la ng'ombe. ...... halifichikiii eeeh halifichikiii pembe la ng'ombe. .....
Pinda mugongo pinda mugongo pinda mugongo. .... pembe la ng'ombe
Shika kiuno shika kiuno shika kiuno..... pembe la ng'ombe. ....

The Bulls horns........ gat you Puttin

Ever Smiling Kasie.
 
Penzi la Kasie silikomi....!!

Hahahahahahahahahahaaaa wajua Kasie napenda sana kuimba, ngoja nikuimbie hiviii

Peembee la ng'ombe, pembe la ng'ombe
Pembe la ng'ombe pembe la ng'ombe
Hali yangu sijiweziii mwekundu nipe dawa
Hali yangu sijiweziii mwekundu nipe dawa

Kazi kwako mpira huoooo ukipiga danadana hayaa, ukipiga chenga hayaa, ukiutuliza kifuani hayaa, ukipiga vichwa hayaa na ukiamua kufunga hewalaaa goli liko mbele yako na golikipa yuko tayari kudaka mpira.

Wacha niangalie machejo ya mwekundu sasa Hehehehehehehee

Hiviiiiii. ....... ntakoma kwelii hehehehehehehhee

Kwishney Kasie. ...

Ever Smiling Kasie.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…