Mbona Sikomiii Kasinde mie....!!???

Kwakua mmiliki halali hajafika, mwite mpaka aitike atapokuja si tuutakoma Bali utaridhika. Kila Siku itakua kama ndo mmekutana Siku hiyo.
 
Me nitakutafuta nikukaushe tu maji kwa katerero za nguvu hadi upatwe na kiu kali sana kama uko jangwani
 
Shukria, ila sijui sasa ntakoma!!? Maana sio kwa kusemwa hivi kwenye wimbo wote wa Dai mwanzo mwisho.

Ever Smiling Kasie.
naona siku hizi umempata mtu anayejua Hindi language
 
Aisee haya mahaba niue kumbe yanauaga kweli..ngoja niusikilizike huu wimbo labda na mm ntajikuta sikomi!

Hahahahaaa wee acha tuu, omba yasikukute.
Saa ingine nafsi inaniambia kasinde sasa mapenzi baasi, ila najikuta tuu kesho nna mwingineee mbona sikomiii.....

Wee usikilize wote yote hayo utasema Dai kaniimbia mie daah.

Ever Smiling Kasie.
 
Kasie mahaba ..hukomiii sababu uyo nisabuni ya roho mama !!.

Hivioo sasa kama ni sabuni ya roho mbona inakuwa hiviiii? ???? Mie natamani nikome na mahaba yawe basii.

Ila sabuni ya roho ndo najipiga masingi na vibao vya mashavu hivii huku nikiulaumu moyo kwanini niliusikiliza. ..... Acha tuu naona sabuni hii siyoo, haikuwa na povu la kutosha.

Ever Smiling Kasie.
 
Me nitakutafuta nikukaushe tu maji kwa katerero za nguvu hadi upatwe na kiu kali sana kama uko jangwani

Aahahahahahahahaaaa wee mwekundu weweee looh aahahahahhahahahaaa sio utakuwa unanirudisha kule kule. ..... mwisho nikajikuta naimba tena kwanini sikomiiii. ..

Ila tuache masihara katerero tamu bana aaah.... yaani hata isipozama ndani ule kitu inakufikisha uluguru kitonga hadi kilimanjaro... sielewagi tuu kama na nyie huwa mnafika kwa kusugua kisima. Na hapo ndo huwa nashangaa Mungu, kile kisima bwana hakiishiwi maji unaweza ukakinga lita 10 ila bado yakaendelea kutoka tuu labda nguvu ya kupekecha iishe heheheheheheee

Ona sasa Kasie mie.... kusikia katerero tuu nshalowa. ... mbona sikomiiiii



Ever Smiling Kasie.
 
Kwakua mmiliki halali hajafika, mwite mpaka aitike atapokuja si tuutakoma Bali utaridhika. Kila Siku itakua kama ndo mmekutana Siku hiyo.

Hivoo eeeh basi wacha niendelee kujipa moyo nivute subira, japo nafsi inaniambia Kasinde sasa mapenzi baasi..... ila ndo hivyooo kesho nna mwingineee sijui kwa nini sikomiiii.

Ever Smiling Kasie.
 
naona siku hizi umempata mtu anayejua Hindi language

Hahahahaa sio siku hizi, ilikuwa moja ya crush za Kasie. ... kesharudi zake kwao Bombay.
Alikuwa kila saa Kasie tikeee, chaloo Kasie chaloo basi mie nachekaaa utasema dental formula inabamba kumbee.

Ever Smiling Kasie.
 
Daaahh Kasie ? Hujaamua tu bana kusmile

Toka lini ,kasie mahaba ,ashindwe kusmile.
 
Asante pia! Ever Smiling Kasie mama matata
 
Ila mwaka huu huenda utakoma. hahahaha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…