Mbona ni kama bwana Trump anatawala kabla ya kuapishwa?

realoctopus

JF-Expert Member
May 11, 2014
3,232
1,981
Hii ina nishangaza sana kutokana na jina la raisi mteule wa marekani kutajwa katika vyombo vya habari kila siku.
Kauli anazotoa,ni kama anatawala Marekani.
Huyu hajapoka madaraka ya marekani kabla ya kiapo?
 
Back
Top Bottom