Mbona nashindwa ku-apply fhi360 kupitia website yao wakuu...?.

MzaramoTz

JF-Expert Member
Dec 13, 2017
1,829
2,986
Heshima kwenu wakuu.

Well, nimeona nafasi za kazi fhi360 na wameelekeza watu waombe kupitia website yao.

Nimeingia kwenye website yao nimeweka e-mail ila tatizo linakuja kwenye password wanasema nichangaye number, alphabet n.k ila bado inakataa.

Nikaweka password ya kwanza then wakataka ni-confirm nikai-copy then nika-paste sehemu ya ku-confirm password nikaambia password hai-match. Tatizo hili mnalipata na nyie wakuu...?

Kama wapo fhi360 humu tunaomba msaada juu ya hilo tatizo wakuu. Nawasilisha.

Thanks.
 
Huwa wanatakaga password uchanganye namba na alphabet,,,,, lakini hizo alphabet lazima nyingine ziwe za herufi kubwa na nyingine ndogo ndo zinakubali

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu, nimefanya hivyo lakini naona inakataa kiongozi.

Kwa msaada wako zaidi hebu unisaidie japo ku-create password yoyote itakayokuwa strong unitumie PM hata kama ni zaidi ya moja ili ikikataa moja nijaribu nyingine utakuwa umenisaidia coz nimejaribu password kama 3 hivi bado nakataliwa ku-sign up bro.

Thanks In Advance mkuu.
 
Heshima kwenu wakuu.

Well, nimeona nafasi za kazi fhi360 na wameelekeza watu waombe kupitia website yao.

Nimeingia kwenye website yao nimeweka e-mail ila tatizo linakuja kwenye password wanasema nichangaye number, alphabet n.k ila bado inakataa.

Nikaweka password ya kwanza then wakataka ni-confirm nikai-copy then nika-paste sehemu ya ku-confirm password nikaambia password hai-match. Tatizo hili mnalipata na nyie wakuu...?

Kama wapo fhi360 humu tunaomba msaada juu ya hilo tatizo wakuu. Nawasilisha.

Thanks.
Heshima kwenu wakuu.

Well, nimeona nafasi za kazi fhi360 na wameelekeza watu waombe kupitia website yao.

Nimeingia kwenye website yao nimeweka e-mail ila tatizo linakuja kwenye password wanasema nichangaye number, alphabet n.k ila bado inakataa.

Nikaweka password ya kwanza then wakataka ni-confirm nikai-copy then nika-paste sehemu ya ku-confirm password nikaambia password hai-match. Tatizo hili mnalipata na nyie wakuu...?

Kama wapo fhi360 humu tunaomba msaada juu ya hilo tatizo wakuu. Nawasilisha.

Thanks.
@2WeItYVJD
 
maNGO@1989
 
Mkuu mbona nikii-convert to a word doc maandishi yanatokea yamebanana sana...?

Halafu pia haileti features za ku-edit nakosea wapi bro...?

Thanks.
Unatumia app gani kufungulia hiyo DOC pia unatumia kifaa gani?.

Mimi huwa natumia hiyo na haijawahi kusumbua mkuu.
 
Huwa wanatakaga password uchanganye namba na alphabet,,,,, lakini hizo alphabet lazima nyingine ziwe za herufi kubwa na nyingine ndogo ndo zinakubali

Sent using Jamii Forums mobile app
@2WeItYVJD
maNGO@1989

Wakuu nawashkuru sana sana nimesha-apply. Kilichobaki ni mniombee tu wandugu. Thanks.

Screenshot_20180904-080807.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom