Mbona msiba wa Jeremia Sumari haupewi attention kama wa Regia?

Hajawahi fanya jitihada za kututoa kwenye minyororo ya mkoloni ccm, sisi ambao si nduguze tumuenzi kwa lipi? kwa sababu mnataka tuseme haya RIP sumari, huo ndio umoja wa kitaifa, kwenye dhahabu hakuna umoja wa kitaifa, kwa kuienzi dhahabu yangu nasema you can rest anywhere sumari.
 
alifanyia nini taifa vile??? mwenye kujua anijulishe?
Hata mimi sina nijuacho kuwa huyu mtu Ataacha legacy gani kwa Watanzania!
Mwenye kujua , mbali ya matendo ya kuonekana, japo kauli yake mojawapo tu inayosimama aliyopata kutamka!

RIP JEREMIAH SUMARI
 
HATA MAGAMBA WENYEWE MMEPOOZA?MPENI UZITO MZEE YULE SI ALIKUWA WAZIRI JAMANI EEEEHH MSIFANYE HIVYO

NIMESIKIA SPIKA ANAFIKIRIA JUU YA KUAGWA KWA SUMARI KAMA WAMUAGIE KARIMJEE AU POPOTE JAMANI


AU KWA SABABU ALIKUWA HAJAAPISHWAAAAA??SASA KAMA NI iSSUE MSISEMA MBUNGE,SEMENI MBUNGE MTEULIWA AU WAZIRI WA ZAMANI

Ama kweli kufa kufaana.
 
inategemea hapewi eataim wapi. Hapa jf hatuna uhakika kama alikuwa memba. Regia alikuwa memba mwenzetu
Hapo pekundu umenisaidia kujibu nami nilitaka kutoa jibu hilo hilo,pia kwa nyongeza Regia alikuwa mpambanaji kijana,sasa huyo mwingine hatujui upambanaji wake ulikuwa wapi ,huenda huko DSE na hatujui hata kama amewahi hata kuperuzi JF
 
Mkuu nyanya mbichi kwenye red naamini hasa hiyo ndo chachu....hakuna alietegemea mauti yangemfika Regia kwani alikuwa mzima wa afya. hivyo kifo chake kilishitua watanzania wote bila kujali itikadi zao au imani na hata msimamo wao kisiasa au kiimani. Pia kulinganisha muitikio wa msiba wa mtu fulani na fulani sio sahihi...inawezekana muitikio ni mzuri tuu lakini updates haziwafikii au hazitolewi kila baada ya muda fulani.

RIP Mh. Jeremia Sumari.


1.MH Regia alikuwa member wa jf na alitumia jina lake halisi. Sijuwi baba wa nancy kama alikuwa member hapa.
2.UMRI.mh Regia alikuwa mdada na mbunge kijana na machachari sana,ameishi kipindi kifupi ukilinganisha na Jeremiah sumari.
3.AINA YA KIFO KILIVYOTOKEA. Mh.Regia ajali ya gari ghafla {unexpected occarence} Sumari ameugua sana tangu mwaka 2010 na hakuapishwa.
4.SHUGHULI: MH.Regia aliainisha mambo aliyofanya na aliyotaka kufanya tofauti na mh.sumari mimi binafs cjuwi.
5.UMAARUFU:mh.regia alikuwa maarufu sana kuliko mh. Sumari.
6.KARIBA:mh.regia alikuwa Kiongozi na mh. Sumari alikuwa Mtawala
7.TULIO WENGI wetu humu jf ni vijana sana mh.regia ni kama alikuwa mwenzetu wakati mh.sumar kama babu yetu.
8.MH.regia chama na jinsia vimembeba wakati mh.sumari umri,chama na jinsia vimemwangusha.
NIKOSOLEWE KAMA NIMEKOSEA NINAMAPUNGUFU YANGU Nawakilisha.
 
Back
Top Bottom