mamamzungu
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 2,650
- 4,481
Vyuo vinafungua lini kwani!
Swala la muda
Sawa kasome bandiko limekamilikaJukwaa la elimu mkuu kuna majibu yote
Wakuu..
Hivi inakuaje kwenye mahusiano watu mnagombana kila siku mpk mnatishiana kuachana
Nimeona nyuzi nyingi watu wanalalamika wamegombana na wapenzi wao
Huwa najiuliza mbona mimi sijawah kugombana hata na ex zangu yaani ugomvi ule seriously mpk mnablockiana sijui mnaambiana tuachane inakuwa ni nini labda haswa
Sisemi kuwa hatupishani tunapishana ila sio kufikia huko kununiana wiki siku 3 au kupigana kabisaa au kublockiana na kutukanana namaanisha yale mapenzi ya drama drama mara umefumania sms mimi mbona hayajawai kunikuta
Wakuu hivi ni kweli itakuwa tunapendana na mpnz wangu mbona hivyo vituko havipo na sijawah kuviona tangu nianze kuhusiana
Upo sahihi kabisNi kwakuwa mmoja kati yenu kajifanya mjinga...
Tena itakuwa wewe...
Sijakutukana ila
Umepatia kabisa, Kuna Uzi kafungua amepitia mengi Wacha apumzike na hataki Shari na mtu.Ni kwakuwa mmoja kati yenu kajifanya mjinga...
Tena itakuwa wewe...
Sijakutukana ila
hapo utasikia wanasema sio mapenzi yadhati ukweli ni kulingana na the way mnavyoishi na huyo mpenzi wako either mko mbali au mnakuwa busy na mambo mengne maana hata ukaribu yale mazoea na ujobless vinachangia sana ngoja wenye wapenzi waje wakupe maelezo zaidi me sina [emoji4]Wakuu..
Hivi inakuaje kwenye mahusiano watu mnagombana kila siku mpk mnatishiana kuachana
Nimeona nyuzi nyingi watu wanalalamika wamegombana na wapenzi wao
Huwa najiuliza mbona mimi sijawah kugombana hata na ex zangu yaani ugomvi ule seriously mpk mnablockiana sijui mnaambiana tuachane inakuwa ni nini labda haswa
Sisemi kuwa hatupishani tunapishana ila sio kufikia huko kununiana wiki siku 3 au kupigana kabisaa au kublockiana na kutukanana namaanisha yale mapenzi ya drama drama mara umefumania sms mimi mbona hayajawai kunikuta
Wakuu hivi ni kweli itakuwa tunapendana na mpnz wangu mbona hivyo vituko havipo na sijawah kuviona tangu nianze kuhusiana
Ni kwakuwa mmoja kati yenu kajifanya mjinga...
Tena itakuwa wewe...
Sijakutukana ila
Ili mgombane lazima kuwe na gap kubwa la mfanano.
Labda 80 Kwa 20 hapo mtagombana
Umepatia kabisa, Kuna Uzi kafungua amepitia mengi Wacha apumzike na hataki Shari na mtu.
hapo utasikia wanasema sio mapenzi yadhati ukweli ni kulingana na the way mnavyoishi na huyo mpenzi wako either mko mbali au mnakuwa busy na mambo mengne maana hata ukaribu yale mazoea na ujobless vinachangia sana ngoja wenye wapenzi waje wakupe maelezo zaidi me sina [emoji4]
Mpka vyuo vifunguliwe utakua umerudi sawaWakuu..
Hivi inakuaje kwenye mahusiano watu mnagombana kila siku mpk mnatishiana kuachana
Nimeona nyuzi nyingi watu wanalalamika wamegombana na wapenzi wao
Huwa najiuliza mbona mimi sijawah kugombana hata na ex zangu yaani ugomvi ule seriously mpk mnablockiana sijui mnaambiana tuachane inakuwa ni nini labda haswa
Sisemi kuwa hatupishani tunapishana ila sio kufikia huko kununiana wiki siku 3 au kupigana kabisaa au kublockiana na kutukanana namaanisha yale mapenzi ya drama drama mara umefumania sms mimi mbona hayajawai kunikuta
Wakuu hivi ni kweli itakuwa tunapendana na mpnz wangu mbona hivyo vituko havipo na sijawah kuviona tangu nianze kuhusiana
Utakuwa umempa limbwata wewe sio bure!
Time will tell[emoji23][emoji23][emoji23]siamini hizo mkuu mimi mtu wa dini