Mbona Mbowe anazunguka Mwanza tu badala kwenda jimboni kwake?

rallphryder

JF-Expert Member
Jan 24, 2015
3,630
1,442
Nasikia anazurura na msururu wa vijana mitaani huko, kama hana nauli ya kwenda jimboni kwake si aseme!
 
Huyu jamaa aliyepost hii habari nasikia ni kikojozi hasa. Ninachoshangaa hataki kuweka ushuhuda hapa kuwa keshaacha maaana kuna dawa nilimpa. Ajabu anatuwekea ya kina Mbowe
 
Back
Top Bottom