Barua ya wazi kwa wana JF wenzangu.................
Natumai ni wazima....Nimekuwa nikifatilia haya malumbano yanayoendelea katika hiki chama kilichojipa utawala yaani CCM...Kwa hakika kama ni mtanzania uliyemzalendo unaweza hata kujinyonga...kila kukicha mara
Shigela v/s Sumaye
Makamba v/s Sumaye
Kikwete v/s Magufuli
Sitta v/s vijana Tabora
Pinda v/s Magufuli nk
Hali hii inakera sana kama unatafakari kwa makini,
Hawa watu wanapata wapi muda wa kulumbana,na je muda wa kutimiza ahadi zao watapata?
Tutaendelea mpaka lini kushuhudia malumbano haya yasiyo na tija kwa taifa zaidi ya kunufaisha watu wachache tena mafisadi?
Watanzania tuchukue hatua gani iwapo hii mipasho itaendelea?