najua atapokea lakini mbona kwanini hata asiombe vocha tht is a simple thng?
Jamani ndugu zangu ni mpenzi wangu ambaye tangia tuanze kujuana takriban miaka miwili sasa hajawa kuniomba kitu chochote hata vocha mpaka hvi sasa tunaplan ya kustart tht new life.na mimi mwenyewe sijawahi kumpa chochote kotelia mbali hata kama hajaniomba.je hapa pana tatizo katika maisha ya mahusiano?
hamna tatizo, two independent minds zimekutana...dumisheni uhusiano... zaidi ya yote zungumzeni kuhusu hili...yeye ndo mwenye majibu kamili as in kuna tatizo au lah....!!
Jamani ndugu zangu ni mpenzi wangu ambaye tangia tuanze kujuana takriban miaka miwili sasa hajawa kuniomba kitu chochote hata vocha mpaka hvi sasa tunaplan ya kustart tht new life.na mimi mwenyewe sijawahi kumpa chochote kotelia mbali hata kama hajaniomba.je hapa pana tatizo katika maisha ya mahusiano?
calm down swthrt.:eyebrows:My well being is my responsibility. I pay my dues, thats how mama taught me. Then why would i ask anything from you while i can take care of myself huh? Acheni ushamba wanaume mkipendwa for who you are mnataka mpendwe for what you are, mkipendwa for what you have mnataka mpendwe for who you are, whats wrong witchu creatures!
so am i nt a gantleman only coz of tht?
Sio kila mtu anaweza/penda kuomba omba. Wewe kama unaweza mpe vile unavyoona ungependa kumpa sio eti unamtegea mpaka aombe. Huko ndani ya ndoa sindo mwanzo wa kutegeana unyumba? Mmoja haombi na mwingine hatoi bila kuombwa.