Vipi huko mtaa wa pili ufipa hali ikoje kwa sasa?Inawezekana, lakini kwa misingi ipi? kura halali? kura za wizi? au mabavu?
Mapinduzi ya kweli yanaletwa kwenu kwa HISANI ya jiwe la Mwanza pale Capripoint, Bismarck Rock
unaambiwa kuna mchumia tumbo mmoja humu , aitwaye Msemajiukweli hali yake si nzuri kabisa !
TL ni kaka wa TaifaUle utabiri wa Tundu Lissu waanza kutimia......
Alitamka maneno yafuatayo miaka michache ya nyuma " Ameanza kushughulikia upinzani, akimaliza huku atakuja kwenu CCM " mwisho wa kunukuu
Kutokana na hotuba aliyotoa Rais Magufuli Jana Ikulu, ni nani atakuwa na ubavu wa kupinga kuwa utabiri wa Mwanasiasa nguli ya nchi hii, Tundu Lissu haujaanza kutimia?
Kwa vile ilihisiwa kuwa kuna watakao mwambia ukweli TBC1 imezuia matangazo live kwa jambo hilo muhimu lakini ingekuwa kapisha au kupokea ndege na kudhuru bandari ni live mpaka kuchee.Hii ndio sababu kubwa iliomfanya awaite wazee wastaafu pale magogoni, ili wazee wamsaide kulirudisha kwenye chupa hili zimwi lenye alilolitoa yeye mwenyewe kwa kufunua kizibo.... tehteehhh
Jitahidi kutumia akili kidogo angalau za kuokotezaCcm ipo imara kukamata dola 50 years to come... Pole
Kumbuka kuwa HATA TUKINYAMAZA....MAWE YATAONGEAKitendo cha kumgalagaza Mwigulu na matisho ya Mwenyekiti wao kwa Wabunge na hatua anazotaka zichukuliwe kwa walo fanya ufisadi wa Lugumi, magari ya Polisi, NIDA nk nk mbona imeleta taharuki sio mitandaoni tuu hata mitaani kwa wapiga debe wa CCM kutulia kama wana malaria?
Pia kitendo cha kada wao Zakaria kuwatwanga risasi wasiojulikana kisha wakajulikana na kuleta taharuki kati ya uongozi wa CCM mkoa wa Mara na Tarime huku wakibishana na viongozi wa serikali kimeonyesha kufanya utetezi maandazi kwisha nguvu?
Au ndio zile njozi za kuwa chinja chinja wa hili dubwasha atatokea ndani mwao ili wa nje wasipate dhambi ya kuua chama hiki kilichokuwa cha ukombozi?
Huyu mtu amebarikiwa kipajiUle utabiri wa Tundu Lissu waanza kutimia......
Alitamka maneno yafuatayo miaka michache ya nyuma " Ameanza kushughulikia upinzani, akimaliza huku atakuja kwenu CCM " mwisho wa kunukuu
Kutokana na hotuba aliyotoa Rais Magufuli Jana Ikulu, ni nani atakuwa na ubavu wa kupinga kuwa utabiri wa Mwanasiasa nguli ya nchi hii, Tundu Lissu haujaanza kutimia?