Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,278
- 8,868
Wana Ccm wanatumia nguvu kubwa sana.Na misipa ya shingo imewasimama kwa kelele wakimulizia Dr Slaa.Huu ni unafiki na upotoshaji wa kisiasa
Dr kwa mara ya kwanza alionekana kwenye kikao akiwa na Lowassa na viongozi wengine wa chama kama Prof Baregu
Vipi Watani mbona Dr Slaa tu? Kila gazeti lenu Slaa,social network Slaa,Kwani Prof Baregu sio CDM?
Mbona hammulizii?Nilichokuja kugundua Ccm wakikumbuka nguvu ya Dr Slaa 2010 Wakijumlisha na Lowassa 2015 hawalali UNONO
Lazima watumie kila walicho nacho kupotosha watz ili wapone,Maana kihalisia siku zao zinahesabika.
Tulieni Sindano Iwaingie!