Kwanini CHADEMA hawakuongea na wandishi wa habari Jana kuhusu ujio wa Wema Sepetu? Tumaini Makene alituhabarisha mapema kuwa Jana Mbowe angeongea na wandishi wa habari kuhusu ujio wa Wema Sepetu ndani ya CHADEMA lakini toka Jana tunaona kimya.Kulikoni? Au clip ya Steven imewatoa barabarani?