mchotamaji
JF-Expert Member
- Sep 22, 2015
- 219
- 66
CCM mwaka 2005/2010 Na 2010/2015 wakati Mh.Kikwete anagombea Uraisi kukitolewa hoja ya kufanya Mdahalo kwa wagombea Uraisi kati ya Mh.Lipumba Wa CUF,Mh.Slaa Wa Chadema Na Nh.Kikwete Wa CCM.Chama cha Mapinduzi kilikataa Mh. Kikwete kushiriki.Kituo cha Redio TBC chini ya Tido Mhando kilikuwa kinafanya midahalo kwa wagombea mbalimbali Wa vyama kwa kuwakutanisha CCM iliwapiga marufuku wagombea wake kushiriki.Hatimaye TIDO MHANDO aliondolewa TBC .Swali kwanini Leo CCM inataka mdahalo!Tunawashauri UKAWA WASISHIRIKI waendesha Midahalo wote wamenunuliwa Na CCM kama ilivyofanya kwa TWAWEZA.UKAWA MSISHIRIKI
CCM mwaka 2005/2010 Na 2010/2015 wakati Mh.Kikwete anagombea Uraisi kukitolewa hoja ya kufanya Mdahalo kwa wagombea Uraisi kati ya Mh.Lipumba Wa CUF,Mh.Slaa Wa Chadema Na Nh.Kikwete Wa CCM.Chama cha Mapinduzi kilikataa Mh. Kikwete kushiriki.
Kituo cha Redio TBC chini ya Tido Mhando kilikuwa kinafanya midahalo kwa wagombea mbalimbali Wa vyama kwa kuwakutanisha CCM iliwapiga marufuku wagombea wake kushiriki.
Hatimaye TIDO MHANDO aliondolewa TBC .Swali kwanini Leo CCM inataka mdahalo!Tunawashauri UKAWA WASISHIRIKI waendesha Midahalo wote wamenunuliwa Na CCM kama ilivyofanya kwa TWAWEZA.
UKAWA MSISHIRIKI

Hatimaye TIDO MHANDO aliondolewa TBC .Swali kwanini Leo CCM inataka mdahalo!Tunawashauri UKAWA WASISHIRIKI waenddesha Midahalo wote wamenunuliwa Na CCM kama ilivyofanya kwa TWAWEZA.
UKAWA MSISHIRIKI
Dr Slaa aliposema CHADEMA kimepoteza ajenda nadhani watu wengi hawakumwelewa! Mambo waliyokataa CCM miaka 10 iliyopita ndio CHADEMA wanatekeleza sasa! Mbaya zaidi, mambo waliyokuwa wanayakataa wao CHADEMA mfano ufisadi leo hii inakuwa shida hata kutamka neno hilo! Wamebaki kujificha kwenye mfumo wakati huo huo wamepokea wajenzi wa mfumo!
Hayo si ndio mabadiliko tunayoyataka, sasa wewe bado unakazania mambo ya mwaka 47,mwaka huu tunatakwa wagombea uraisi wa vyama vikuu viwili vya CCM na Chadema wafanye mdaharo live,hakuna visingizio ,tena tunataka tuwe na muda wa kuwauliza maswali kuhusu shutumza za kifaisadi kwa wote wawili Magufuli na Lowassa,na tuwasikie wakijibu wao wenyewe kwa vinywa vyao,pia watueleze sera za vyama vyao na njia za kutekeleza ahadi zao haitoshi tu kusema wanafunzi watasoma bure hadi Chuo Kikuu,tuelezwe njia za kuwawezesha hao wanafunzi kusoma bure,hao hilo bomu la ajira tunataka tuambiwe jinsi ya kutuokoa tusilipuliwe nalo.Pia tuelezwe utajiri wao,mapato na biashara zao ambazo zipo kwenye daftari la maadili ya viongozi na zile mali zilizofichwa Uswisi pamoja na majumba yaliyopo London na kwingineko tuelezwe waliyapataje kwa biashara ipi wakati miaka yote wakiwa viongozi na sio wafanya biashara.CCM mwaka 2005/2010 Na 2010/2015 wakati Mh.Kikwete anagombea Uraisi kukitolewa hoja ya kufanya Mdahalo kwa wagombea Uraisi kati ya Mh.Lipumba Wa CUF,Mh.Slaa Wa Chadema Na Nh.Kikwete Wa CCM.Chama cha Mapinduzi kilikataa Mh. Kikwete kushiriki.