embu tuache tuomboleze msiba wa wafanyakazi wenzetu.Matangazo yao yalikuwa yanaeleza kwamba wataonyesha mechi zote. Leo hawaonyeshi Mali na Ivory Coast, tatizo nini?
Cha kushangaza wamezifunga KBC/UBC ambazo zinaonyesha.
Game ishaanza weweGame saa 19:30 nimeangalia ratiba yao
Kweli mkuu binafsi imeniuma sana, washkaji bado wadogo kabisa alafu ofisi moja wamekufa.Ila ukijaribu kuvaa viatu vya wafiwa aisee!!!acha tu wasionyeshe.