Prince Nadheem
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 1,269
- 1,108
hivi kweli unauliza makofi polisi?
Uzuri wote mko engaged 'friends with benefit'
hahaha.... Kongosho naona wewe ushauri wako mkuu saizi ni "friends with benefit" au "No strings attached" lol
Simple Mathematics tell her the truth that you don have a room in your heart for her,na ujiweke mbali nae hasara ni kubwa kuliko faida inapotokea hali kama hiyo we si wakwanza pia hata kwetu wapo
Wewe na yeye mumeonana siku moja mukapeana namba za simu baadae ukaenda likizo.
Huo mwaliko wa nyumbani ulitokea siku hiyo hiyo ya kwanza, au nimeelewa vibaya?
Prince bana,kwa nini unauliza majibu,we gonga,ukinogewa jenga kibanda,ka vipi unamkatia laini ajijue mbele ya safari.Utaachaje mdondo?