Usifanye majaribio fanya ni mbolea poa saana ila hapo ulipoweka majani naona kuna chupa safisha kabisa kwani hayo machupa sio poa kwabisa ntakutumia link video ulearn namna ya kufanya kwa mafanikio.

[emoji106] safi mkuu nashukuru. Apo niliagiza vijana wajaze manyasi kama miez 2 nyuma lakin nishaondoa chupa zote na nailon jaribio lakwanza nilifanya na kutumia ilikua poa sana