Mbogo, simba, na sasa ACT

A.C.T "Ant-Chadema Tanzania" Chama Kilichoundwa Na Magamba Kwa Ajili Ya Kazi Maalumu
 
Haya bana. Mlianza wenyewe kusema kuwa chadema ni ya wakatoliki. Naona Waanglicana nao wamejitutumua. ACT = Anglican Church of Tanzania. Hawa wakiamua kufuata sera za malkia tumekwisha. Uliberali ndo wenyewe hao.
 
Aiseeee
 
ha haha act inachanja mbuga
 
Unapoteza muda Ndugu yangu Chama cha siasa hakitangazwi mitandaoni
 
Yaelekea hiki ni chama cha mtandaoni kama kilivyo DP kua ni chama cha Habari maelezo na mahakamani! Ila nimeipenda style yako ya ku-attack, kila siku we na CDM na Dr. Slaa tu, vyama vingine na viongozi wao huwaoni kabisa!
 
hivi mkuu ofisi ya ADC si ndo hiyo hiyo ofisi ya ACT
 
Last edited by a moderator:

Taifa linaongea Kiswahili, ACT inaongea Kiingereza. Taifa gani ACT inaongelea kwamba Taifa Kwanza!?..ASP na TANU vilivunjwa maksudi ili kutengeneza jina la Kiswahili litakaloeleweka Miongoni mwa Watanzania na Wanachama ndio maana ikazaliwa CCM. ASP na TANU ni majina ya Kiingereza...

Hapa Tanzania Watanzania wanaelewa CHADEMA na CCM tu, pengine na JAHAZI ASILIA...Jina limeshawaondoa katika Falsafa mnayotaka kulazimisha
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…