Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,353
- 108,031
Wala haitashangaza. Kuna kichaa mmoja toka Mtera, mchango wake kwenye hotuba ya rais ulikuwa wa kiwendawazimu. Eti anasema wabunge wafungiwe ndani waanze kuzipiga na kwa kuwa wao ccm ni wengi watashinda. Tunalipa kodi zetu kwa vichaa kama hawa!
Tatizo inajulikana nani atashinda maana wingi wa Chama cha Majambazi uta-overpower People's representative though wana vijana wengii!mi ningependa itokee kwenye bunge letu ili heshima ishike mkondo wake
Tatizo inajulikana nani atashinda maana wingi wa Chama cha Majambazi uta-overpower People's representative though wana vijana wengii!