Mbio za urais 2015 CCM na baraza jipya la mawaziri

I think Membe stands a good chance although I wll never vote for ccm

Huyu mtu ni ukweli usiofichika kuwa kiti cha urais anakitaka. Sasa inabaki kwa wakubwa wa CCM kumpitisha au la. Ngoja tusubiri tuone.
 
Wewe umefanikisha nini hata ukamsema mwenzako?

Mzee,

Jaribu kusoma vizuri kabla ya kuanza kutype. Mimi nimeuliza huyu Muungwana amefanikisha nini katika nafasi aliyokuwa nayo miaka mitano iliyopita, sasa ilo swala la kumsema sijui umelitoa wapi. Jamani kama mtu anatajwa kwamba anaweza kuwa Rais mtarajiwa, si itakuwa vyema kama sisi wananchi tutamjua inside-out ili tusije uziwa mbuzi kwenye gunia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…