Mbio za urais 2015 CCM na baraza jipya la mawaziri

Vitendo

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2009
Messages
596
Likes
9
Points
35

Vitendo

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2009
596 9 35
Kulikuwa/kuna tetesi,mawazo na maoni ya watu wengi juu ya uundaji wa Baraza jipya la Mawaziri la serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania ungekuwa na picha inayoyesha zile mbio za sakafuni za kuelekea uchaguzi wa urais 2015 hasa ni nani ambaye atapata ridhaa ya chama cha mapinduzi kuwa Mgombea wa urais kwa mwaka huo wa 2015.
Leo hii baraza hilo limeonekana na liko wazi na limeshaanzaa kuzua mijadala na maoni mbalimbali.
Ukiliingalia kwa UMAKINI na kwa undani,Je Baraza hilo linatoa picha gani kuelekea uchaguzi 2015?
Je kuna mtu/watu ambao kupitia baraza hilo wamewekewa au wanawekewa mazingira mazuri wa kupata ridhaa ya CCM kwenda kugombea 2015?
wewe kama mtanzania mtaka maendeleo ya Tanzania una maoni au umeona nini juu ya hilo?
 
Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Messages
79,382
Likes
43,047
Points
280
Age
28

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined May 15, 2006
79,382 43,047 280
Mimi natabiri kuwa mid way thru JK atavunja na ku reshuffle baraza na J. Makamba atateuliwa waziri and that will be his launching pad for the bid....
 
Fareed

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2010
Messages
328
Likes
12
Points
0

Fareed

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2010
328 12 0
Mimi natabiri kuwa mid way thru JK atavunja na ku reshuffle baraza na J. Makamba atateuliwa waziri and that will be his launching pad for the bid....
I think its too early to predict who will be president in 2015. Five years is a very long time in politics, a lot could happen. Kuhusu J.Makamba, we all know its just a matter of time until Kikwete gives him a Cabinet job, but it's highly unlikely young Makamba could make a bid for the presidency so soon. I think atakuwa bado hajafikia umri wa miaka 40, so yeye na wanasiasa wengina wanaotajwa for 2015 akiwemo Zitto Kabwe wanakuwa barred na katiba kugombea Urais kutokana na umri wao.
 
Fareed

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2010
Messages
328
Likes
12
Points
0

Fareed

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2010
328 12 0
I think its too early to predict who will be president in 2015. Five years is a very long time in politics, a lot could happen. Kuhusu J.Makamba, we all know its just a matter of time until Kikwete gives him a Cabinet job, but it's highly unlikely young Makamba could make a bid for the presidency so soon. I think atakuwa bado hajafikia umri wa miaka 40, so yeye na wanasiasa wengina wanaotajwa for 2015 akiwemo Zitto Kabwe wanakuwa barred na katiba kugombea Urais kutokana na umri wao.
Naomba nijisahihishe, nimesoma mahali J.Makamba kazaliwa 1974, so atakuwa na umri wa miaka 41 ifikapo 2015 na kuruhusiwa kugombea Urais kikatiba. So Omega Psi Phi was right kumtaja January kwenye mbio za Urais 2015.

Mimi nadhani itatokea emergence of three powerful female politicians who may factor in on the presidential race in 2015 -- UN deputy secretary general Dr. Asha-Rose Migiro, new Cabinet minister Anna Tibaijuka na Bunge Speaker Anne Makinda. Bernard Membe, Dr Hussein Mwinyi, Samuel Sitta are also in the mix of things.

The usual suspects, Edward Lowassa, and his gang shouldn't be under-estimated.

I think a clearer picture on the main contenders will emerge after the 2012 CCM national congress.
 
Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Messages
79,382
Likes
43,047
Points
280
Age
28

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined May 15, 2006
79,382 43,047 280
I think its too early to predict who will be president in 2015. Five years is a very long time in politics, a lot could happen. Kuhusu J.Makamba, we all know its just a matter of time until Kikwete gives him a Cabinet job, but it's highly unlikely young Makamba could make a bid for the presidency so soon. I think atakuwa bado hajafikia umri wa miaka 40, so yeye na wanasiasa wengina wanaotajwa for 2015 akiwemo Zitto Kabwe wanakuwa barred na katiba kugombea Urais kutokana na umri wao.
Kheri Makamba kuliko Zitto....lawd hamercy
 
Rufiji

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2006
Messages
1,741
Likes
240
Points
160

Rufiji

JF-Expert Member
Joined Jun 18, 2006
1,741 240 160
Watch out for them New England Patriots.....

I don't like the Patriots, I think they are overated and their coach is so arrogant. They barely won the last game even though the Colts had a lot of injuries. The Chargers is the team to beat ... Happy Thanksgiving to you too.
 
Forum statistics

Threads 1,203,210
Members 456,663
Posts 28,104,669