Arnold Ringo
JF-Expert Member
- Jan 23, 2014
- 2,318
- 394
Wanafunzi wa Shule mbalimbali kwenye Manispaa ya Arusha mjini wametolewa kwenye vipindi vyao vya masomo kuja kushanga mwenge jee ndio kuwafundisha au kuwateketeza kielimu?
Na imefuatiwa nakukosa watu kwenye mbio za mwenge jijini Arusha
Na imefuatiwa nakukosa watu kwenye mbio za mwenge jijini Arusha