Mbinu za walevi

KIGENE

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2011
Messages
1,164
Points
1,500

KIGENE

JF-Expert Member
Joined Jan 22, 2011
1,164 1,500
Baada ya hali ya maisha kubana kishenzi walevi waliokuwa wamezoea kupata kilaji kwa staili ya weita lete mbilimbili kama tulivyo wamebuni mbinu mpya.

Mlevi anayeona hawezi kumudu kuagiza raundi kwa wenzie anachelewa maksudi kufika baa anapima mida ambayo kolamu itakuwa imetimia anafika lakini kabla yakujumuika na wenzie anamwita weita pembeni nakumlipa hela ya idadi ya kilaji atakachotumia anampa maelekezo kwamba pindi atakapojiunga na wenzie afike haraka amwambie kuwa yule mzee pale anauliza utakunywa kinywaji gani na achezea jiranijirani kilaji kikiisha amuulize mzee anasema eti unaongeza, hapohapo wenzie wakipiga raundi na yeye anafaidi mwisho wa siku anaondoka kalewa chakari bila kuchangia raundi hata moja
 

dazu

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2011
Messages
365
Points
0

dazu

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2011
365 0
Kuna huyu jamaa anayeagiza kwa fujo. Raundi zote anataka kuagiza yeye, ikifika raundi ya nne au tano anakunywa nusu halafu anaaga kwenda kujisaidia, harudi. Weita akija na bili ye keshachomoka
 

Forum statistics

Threads 1,356,550
Members 518,911
Posts 33,132,973
Top