Fredrick Sanga
JF-Expert Member
- Jan 27, 2011
- 3,153
- 701
katika matumizi ya pesa na akili, hakuna lisilowezekana chini ya juu.
Tuwe makini na hizi Ambulance zinazokpita pita kila mara haswa wakati huu wa Uchaguzi.
Jiulize wagonjwa wameongezeka sana kipindi hii?
Ni mzigo unapitishwa huo kupelekwa vijijini
umesahau mbinu hii iliyompatia mahanga ubunge.Nimeona kwamba ni vizuri tukiziweka wazi mbinu zinazitumika kuiba kura ili wanauhusika waweze kuudhibiti uizi huu ambao unawaza kutuvunjia amani yetu tuliyonayo:
1 Kupiga kura zidi ya mara moja: Bandika wino usiotoka (Ukitoka je)
2 Gawa shahada kwa wasio husika: Mawakala kuwagundua kwa sura
3 Kugawa karatasi zaidi ya moja kwa mpiga kura: Wakala kuwa makini
4 Kutumbukiza kura katika box kabla ya kufunga Kufunga kituo: Wakala akihongwa anakubali. (Sijui hapa watafanya nini)
5 Mpiga kura anaweza kuingia na karatasi nyingi za kura alizopigia nyumbani. Hii hutumika sana kama masanduku ya kura yakiwekwa kwenye vizimba. (Tunazibiti vipi)
5 Tuwe makini na hizi Ambulance zinazokpita pita kila mara haswa wakati huu wa Uchaguzi (Tafanyeje sasa)
6 Kutumia nguvu kuwatisha mawakala, kuchakachua (Nini kifanyike), hii inaweza ikawa katika vituo vya kupigia kura, wakati wa kusafirisha masanduku na wakati wa majumuisho. (Hapa naona ipo kazi, labda mawakala wa nguvu wasioogopa MG)
7 Kuwahi sana kupiga kura na kuwaacha mawakala peke yao katika vituo (hapa inakuwaje?)
8 Segerea style, kukimbia na masanduku ya kura.
Hebu changine nyingine, na kutoa mapendekezo ya jinsi ya kubana mianya hiyo.
umesahau mbinu hii iliyompatia mahanga ubunge.
9.KUKIMBIA NA MASANDUKU YA KURA!
Mmesahau magari ya wanajeshi kupitapita nayo yakaguliwe mnalisimamisha na kuwashusha wote na kuwasachi ni haki yenu!
kuanzisha vurugu kituo cha kupigia kura hasa mida ya jioni.
Nimeona kwamba ni vizuri tukiziweka wazi mbinu zinazitumika kuiba kura ili wanauhusika waweze kuudhibiti uizi huu ambao unawaza kutuvunjia amani yetu tuliyonayo:
1 Kupiga kura zidi ya mara moja: Bandika wino usiotoka (Ukitoka je)
2 Gawa shahada kwa wasio husika: Mawakala kuwagundua kwa sura
3 Kugawa karatasi zaidi ya moja kwa mpiga kura: Wakala kuwa makini
4 Kutumbukiza kura katika box kabla ya kufunga Kufunga kituo: Wakala akihongwa anakubali. (Sijui hapa watafanya nini)
5 Mpiga kura anaweza kuingia na karatasi nyingi za kura alizopigia nyumbani. Hii hutumika sana kama masanduku ya kura yakiwekwa kwenye vizimba. (Tunazibiti vipi)
5 Tuwe makini na hizi Ambulance zinazokpita pita kila mara haswa wakati huu wa Uchaguzi (Tafanyeje sasa)
6 Kutumia nguvu kuwatisha mawakala, kuchakachua (Nini kifanyike), hii inaweza ikawa katika vituo vya kupigia kura, wakati wa kusafirisha masanduku na wakati wa majumuisho. (Hapa naona ipo kazi, labda mawakala wa nguvu wasioogopa MG)
7 Kuwahi sana kupiga kura na kuwaacha mawakala peke yao katika vituo (hapa inakuwaje?)
8 Segerea style, kukimbia na masanduku ya kura. Hapa panahitajika escot ya nguvu sana, bila hivyo sijui. Bodaboda wanaweza hii kazi.
9 Je Magari ya Jeshi yanaweza kutumika, Basi tume ipate ma MP ili kushirikiana na wananchi wenye wasiwasi.
10 kuanzisha vurugu kituo cha kupigia kura hasa mida ya jioni. (Kuabakia katia vituo m 103 hadi kura zinapoondoka)
Hebu changine nyingine, na kutoa mapendekezo ya jinsi ya kubana mianya hiyo.
Kigoma na Pemba pekee ndo wameweza kuwadhibiti CCM,kule watu wamepigika mifukoni sio kichwani kama watu wengi wa maeneo mengine wakioneshwamwekundu wanakodisha shahada zao mpaka uchaguz uishe!