Mbinu za kuushinda mwili

Mwl Mwakujonga

JF-Expert Member
Jun 29, 2023
286
582
UTANGULIZI
Watu wengi kutokana na kutaka kuufurahisha mwili wamejikuta wakijiingiza kwenye matatizo makubwa ya kifamilia, kikazi , Kiuchumi etc

Ulishawai kujiuliza MTU anafamilia yake nzuri Tu mke na watoto anahamua Tu kutembea na house girl Kisa kavutiwa na mwili wake

Unamkuta binti Kwa sababu ya kutaka kuhurizisha mwili anajiingiza kwenye tabia ambazo hazifai lengo Tu kupata pesa ili aweze kuwa na nywele nzuri, simu nzuri , Maisha flani hivi

Au unamwona kijana Yuko busy na gym kutengeneza mwili kwa lengo la kuwavutia wakina mama ili aweze kujipatia kipato Kwa mwili wake, kupitia wamama wanaopenda miili ya vijana

Tena Mambo yamekwenda mbali juzi Tu hapa nilosoma habari ya vijana huko nchi jirani vijana wakiume wanajiuza kwa wakina mama kwa ajili ya kujipatia kipato tena wako kwenye mitandao na wengi wao ni miaka 20's

Umeshawai kujiuliza kwanini mwili umekuwa chanzo kikubwa cha kuwaongiza watu kwenye dhambi ?

Mwili ni nini?
Mwili wa mwanadamu uliumbwa na Mungu kutoka kwenye mavumbi

Mwanzo 2:7 BWANA Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi, akampulizia puani pumzi ya uhai; mtu akawa nafsi hai.

Kusudi la Mungu

Kusudi la Mungu kwa mwandamu lilikuwa mwanadamu kuishi milele katika mwili huu WA vumbi ndio maana katika bustani ya Edeni kulikuwa na mti wa uzima Ambao mwandamu alipewa kwa ajili ya chakula

Mwanzo 2:9 BWANA Mungu akachipusha katika ardhi kila mti unaotamanika kwa macho na kufaa kwa kuliwa; na mti wa uzima katikati ya bustani, na mti wa ujuzi wa mema na mabaya.

Mabadiliko ya Mpango
Kilichosababisha Mungu kubadili mpango wa mwanadamu
 
Hiyo mipalanganyo migumu na hatari ya maisha nadhani ndiyo inafanya mlinganyo sawa wa idadi ya watu hapa duniani kiasi wengine wanafariki kabla ya kufika uzeeni.just imagine kwenye ukoo au familia yenu kila aliezaliwa angekfikisha uzee wa umri wa miaka 100 ma kuendelea hali ingekuwaje.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom