Mbinu za Kun unlock Hizi simu za Button!

Ryzen

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
7,312
Reaction score
8,754
Habari WanaJF

kuna hizi simu ndogo za button kama za nokia..Samsung na zinginezo!

Hizi simu mara nyingi huleta tatizo la code hasa pale unaposahau code kama ujuzi ni mdogo kama wangu inasumbua sana!

Leo kuna samsung yangu ndogo Model GT-1200R
Nimesahau Password yake.. sasa wajuzi nisaidieni napataje lock code yake!

Tupeane mbinu na hata kama ni kuflash hizi simu ndogo huwa zinaflashiwa vipi?

Nimepiga picha yenyewe hii Hapa! kama inavyoonesha inadai PHONE LOCK!

Tusaidiane!
 
Attachments

  • 1541434728317.png
    1541434728317.png
    668 KB · Views: 195
Hemu Google mkuu""" namimi kinokia changu kilijilock ila niliingia youtube nkaona jinsi wanavyofanya reset kupitia codes hatimaye nikafanikiwa
 
Weka IMEI namba yake nikusaidie dogo, hakikisha sio ya wizi!
Ni yangu Mkuu Nilimuachia Mama naye kasahau Code baada ya smart yangu kuibiwa nataka nikitumie.. IMEI 358763/06/699499/8
 
Hemu Google mkuu""" namimi kinokia changu kilijilock ila niliingia youtube nkaona jinsi wanavyofanya reset kupitia codes hatimaye nikafanikiwa
Nisaidie Mkuu Model ya simu ni hiyo tajwa hapo juu
 
Habari WanaJF

kuna hizi simu ndogo za button kama za nokia..Samsung na zinginezo!

Hizi simu mara nyingi huleta tatizo la code hasa pale unaposahau code kama ujuzi ni mdogo kama wangu inasumbua sana!

Leo kuna samsung yangu ndogo Model GT-1200R
Nimesahau Password yake.. sasa wajuzi nisaidieni napataje lock code yake!

Tupeane mbinu na hata kama ni kuflash hizi simu ndogo huwa zinaflashiwa vipi?

Nimepiga picha yenyewe hii Hapa! kama inavyoonesha inadai PHONE LOCK!

Tusaidiane!
Ya kwako unayotumia kila siku then umesahau password how this happen at all. Itakuwa ya wizi nyoosha maelezo wataalamu wengi humu watakusaidia.
 
Kama unaweza kwenda kwenye keypad nijibu hapa nikupe codes.

Toa line na iwashe uone kama inaweza kuwaka mpaka kwenye keypad.
 
Haiwezi Mkuu
 
Imeze bila kuitafuna utakapojisaidia itatoka ikiwa haina nywira.
 
Back
Top Bottom