Mbinu ya Meya Bukoba yakwama.

Mbinu ya Meya Bukoba yakwama.

Nam...

Member
Joined
Nov 11, 2011
Posts
51
Reaction score
16
Ni mpango alioupendekeza kwenye kikao cha baraza la madiwani kugawa kata ili kuongeza sehemu za kugombea katika muhula ujao.

Kuna taarifa za yeye kukataliwa kwenye kata aliyogombea msimu uliopita ya kagondo, hivyo alivyodokeza kugombea kwenye kata ya kashai anapoishi akaonekana hakubaliki ndipo akaja na kisingizio cha kuwa kata hiyo ni kubwa hivyo itengwe ili wapate kata nyingine kutoka kata hiyo ya kashai.

Mpango wake huo umekwama baada ya madiwani waliopokea hoja hiyo kustukia na kusema kuwa hawakotayari kuliunga mkono, ili aachwe aendelee kugombea kwenye kata yake ambayo sasa hivi hakubaliki kwasababu ya ubabe wake.
 
hizi siasa sijui ya karne gani?

Naamini zipo kanuni, taratibu na sheria hadi sera inayoongoza mgawayo wa kata au majibo ya ucchaguzi. Sio kweli kama mtu akilala leo na mumewe au mkewe akiamka anakuja kusema anagawa eneo.

Implication yake ni kubwa kiuchumi has uendeshaji
 
wewe mleta taarifa utakuwa ni muathirika wa porojo za kwenye vijiwe vya kahawa hapo sokoni.Leta hoja ya maana ikiwa na ushahidi ili ijadiliwe sio kukurupuka na kuleta uhalo hapa jamvini
 
Ni mpango alioupendekeza kwenye kikao cha baraza la madiwani kugawa kata ili kuongeza sehemu za kugombea katika muhula ujao.

Kuna taarifa za yeye kukataliwa kwenye kata aliyogombea msimu uliopita ya kagondo, hivyo alivyodokeza kugombea kwenye kata ya kashai anapoishi akaonekana hakubaliki ndipo akaja na kisingizio cha kuwa kata hiyo ni kubwa hivyo itengwe ili wapate kata nyingine kutoka kata hiyo ya kashai.

Mpango wake huo umekwama baada ya madiwani waliopokea hoja hiyo kustukia na kusema kuwa hawakotayari kuliunga mkono, ili aachwe aendelee kugombea kwenye kata yake ambayo sasa hivi hakubaliki kwasababu ya ubabe wake.

kagasheki ajiandae kupumzika, MEYA ndo anauchukua ubunge wake, kagasheki auze vitalu na loliondo apate pesa ya kustaafia.
 
wewe mleta taarifa utakuwa ni muathirika wa porojo za kwenye vijiwe vya kahawa hapo sokoni.Leta hoja ya maana ikiwa na ushahid ili ijadiliwe sio kukurupuka na kuleta uhalo hapa jamvini
Pole mh D One
 
Back
Top Bottom