Mbinu ya kuweka gypsum board kwa gharama nafuu

101 East

JF-Expert Member
Feb 25, 2015
1,040
2,121
Leo nawapa mbinu za kupunguza garama ya Gypsum bord.. UZI,

•Piga hesabu unaitaji Bord ngapi. Mfano unaitaji 50pc. Nunua 20 kwanza mwambie fundi gypsum ziwekwe sehemu zinazoingia nzima bila kukatwa.
sehemu za vipande aziache kwanza
twende zetu chap chap
Utashangaa nzima zinaingia pc 20 au pungufu.
zile sehemu zinazoingia vipande nenda hadwere ongea nao wakuuzie damage boards. (hizi huwa zimemeguka kidogo wakati wakushusha mzigo ivyo haziuzwi kwa wateja wa kawaida)
hizi utauziwa moja 5,000-7,000 kulingana na ilivokaa
Utanunua 30 pcs ndio unaenda kuweka zile sehemu zinazoitaji vipande.
Hesabu iko ivii
•Bord nzima 50 18,000x50=900,000

•bord nzima pc 20 18,000x20=360,000
•Damage bord 30 7000x30= 210,000
•Total 570,000
•900,000-570,000=330,000
Umeokoa 330,000
IMG_20201114_211733.jpg
View attachment 1626529View attachment 1626530
 
Leo nawapa mbinu za kupunguza garama ya Gypsum bord.. UZI,

•Piga hesabu unaitaji Bord ngapi. Mfano unaitaji 50pc. Nunua 20 kwanza mwambie fundi gypsum ziwekwe sehemu zinazoingia nzima bila kukatwa.
sehemu za vipande aziache kwanza
twende zetu chap chap
Utashangaa nzima zinaingia pc 20 au pungufu.
zile sehemu zinazoingia vipande nenda hadwere ongea nao wakuuzie damage boards. (hizi huwa zimemeguka kidogo wakati wakushusha mzigo ivyo haziuzwi kwa wateja wa kawaida)
hizi utauziwa moja 5,000-7,000 kulingana na ilivokaa
Utanunua 30 pcs ndio unaenda kuweka zile sehemu zinazoitaji vipande.
Hesabu iko ivii
•Bord nzima 50 18,000x50=900,000

•bord nzima pc 20 18,000x20=360,000
•Damage bord 30 7000x30= 210,000
•Total 570,000
•900,000-570,000=330,000
Umeokoa 330,000 View attachment 1626531View attachment 1626529View attachment 1626530
Kazi ya mtu, thamini mchango wake kwa ku acknowledge
 
Hii ni comment yangu kwenye uzi huu
Wewe na huyo wa Twitter mmeiiba humu humu JF.
 
Attachments

  • Screenshot_20201115-073313.png
    Screenshot_20201115-073313.png
    46 KB · Views: 31
  • Screenshot_20201115-073307.png
    Screenshot_20201115-073307.png
    53.7 KB · Views: 26
Nimeiona Twitter hii....acknowledge the source mkuu
Comment yangu wameiba humu humu JF
 
Kazi ya mtu, thamini mchango wake kwa ku acknowledge
Huyo wa Twitter kaiba humu comment yangu. Copy and paste hadi figures
 
Sawa mkuu tumchape viboko vingapi?
 
Hii ni comment yangu kwenye uzi huu
Wewe na huyo wa Twitter mmeiiba humu humu JF.
Hizo chuma ni bei gani kwa kipimo gani
 
Back
Top Bottom