Mbinu ya kijasusi inayoweza kuokoa maisha yako

Abiy Ahmed tafadhali get off X.
 
Hapo uliget off x mkuu
 
jasusi ana majukumu yapi? Sasa mkuu, jasusi aki get off the x, atapata vipi ta taarifa ?
 
Kiukweli nimeishi sana kwenye hii mbinu ya Get off the X na imeniokoa na mengi.

Kuna msemo unatumiwa sana na wachaga kwamba "Kwa mtu muoga hakuna kilio" kwa maana kwamba yeyote muoga huwa anakimbia mara tu anapohisi kuna hatari. Hii inasababisha kuepukana na vilio.
 
🤩🤩🤩Hii ndio mbinu ya kijasusi sasa
 
Mtu ukiishi ktk hii, utaepuka mambo mengi ambayo yangeleta athari.
 
KISAA CHANGU HIKI...............

Nilikuwa niko morogoro town pale equity benki mkabala na stendi ya zamani.

Ukitoka nje ya benki ng’ambo kuna kijiwe cha kahawa huwa wanakaa watu kibao( huwa nashangaa kwanini wanaachwa si wanaweza chora ramani).

basi siku hiyo nimetoka mule equity benki na kimillion 4 changu kwa bahasha bahat nzuri boda alikuwa ananisubiri.

Ila kucheki ng’ambo naona mijicho kama yote kweny bahasha, nikamwambia boda tusepe, tunafika mbele njia panda naona boda 2 zinaongozana na mm, nikamwambia dereva boda emu kata kushoto badala ya kwenda kulia, kiufupi nilizunguka na boda trip za 15,000 mpka nkawapoteza ndo nkashuka karibu na home ila skuingia home, nikazama kwa jamaa yangu jirani afu baadaye sana ndo nikasepa home saa 1 usiku



SIAMINIGI MTU JAPO MUNGU NDO MLINZ WANGU
 
daah yule basi alinitafuta kwa kila namna ili anifukuze kazi , akanipeleka hearing ofisi za juu nikachomoka, hakuridhika akaendelea kunifuatilia
Namshukuru rafiki yangu Mangi akanishauri anihamishe nikakubali, mkuu anaktana na uhamisho mezani
sitamsahau yule bwege
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…